Mazoea bora kukata na kupogoa matawi
Uploaded 7 years ago | Loading
6:20
Kusimamia mimea ya kahawa vizuri, iwe Arabica au Robusta kunaweza kuleta tofouti katika mapato, kiwe cha wastani au cha juu. Ukikata mashina ya mikahawa yako mara kwa mara na kukata matawi kila mwaka utaongeza mazo na kipato chako.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication