Tuhifadhi mahindi yetu vizuri
Uploaded 5 years ago | Loading
07:35
Mahindi mengi yanayovunwa huharibika kwa sababu ya kuhifadhiwa vibaya. Katika video hii, tutapata ushauri kuhusu kuvuna na kuhifadhi mahidni ili kuepuka hasara.
Current language
Kiswahili
Produced by
TV Agro-CentroAmerica